Tuesday, September 15, 2009

mask



Mask inayotengenezwa kwa mti wa mpingo(ebony) na kabila la wamakonde walioko kusini mwa tanzania
Mask hii hutumika kama urembo katika nyumba,office na hata mahali pengine
Mask hii hupendeza san hasa pale inapo tundikwa juu au ukutani
inapatikana msangi art

pichaaaaaaaaaaa



Hii ni picha inayochorwa juu ya kipande cha gunia ambacho hutengenezwa na material ya katani na kuchorwa juu yake
kazi hii hufanywa kwa mikono na pamoja na vifaa rahisi
karibu sana msangi art

Tuesday, September 8, 2009


Aina ya kiti hiki hupendwa kukaliwa na CHIEF wa kabila la wakwere walioko hapa kwetu tanzania.
Nivyema ukafahamu tamaduni zetu na kufahamu tunatokea wapi na tunakwenda wapi!
Hayo yote utapata ndani ya Msangi Art Eterprises


KIGODA


Hiki ni kiti aina ya kigoda ambacho hutumiwa na wazaramo kama sehemu moja wapo ya utamaduni wao!
Kazi hii ya kutengeneza kigodahiki unacho kiona hutumia mikono pamoja na vifaa rahisi,
Karibu Msangi Art Enterprises

Monday, September 7, 2009

IT'S AFRICAN DANCE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Its African Dance!

Hii ni Aina ya batiki inayoonyesha jinsi africa wanavyo cheza na kuzifuraia kazi zetu za sanaa

Karibu msangi art ujipatie bithaa za kiutamaduni zenye ubora wa hali ya juu.

"Njoo ufurahie utamaduni wako"

Masai vichwa

vimetengenezwa na mti aina ya mpingo(ebony),na hutengenezwa kwa mikono na vifaa rahisi!

Hapa kwetu uchongaji wa aina hii ya vinyago mara nyingi hufanywa na makabila ya pwani ya kusini ya Tanzania

Tutembelee leo ujionee!